Genesis 30:18

18Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.
Isakari maana yake Zawadi, yaani Mungu amenizawadia.

Copyright information for SwhKC